Mwenye tatizo kuhusu magari

Hapa nina video tu nikiwa na hayo mavitu nmeshindwa kuizuia sura yangu isionekane so sijui nikusaidiaje ili tuende sambamba labda uniambie nikutumie ww private na sio kuianika hapa sura yangu
 
Hapa nina video tu nikiwa na hayo mavitu nmeshindwa kuizuia sura yangu isionekane so sijui nikusaidiaje ili tuende sambamba labda uniambie nikutumie ww private na sio kuianika hapa sura yangu
Sawa mkuu, nimekusoma. Ntakufata prvt baada ya kazi, au sio? Tuko Bien lkn?!?!
 
Habarini ndg, hivi tatizo la kugonganga sana chini baada ya ya kuweka spencer kwenye gari inasababishwa na nini?
 

Habari mkuu,

Pse recommend nitumie shock-abs zipi kwa Nissan Navara D40? Hizi njia zetu za mashimo na mawe kila mtaa mpaka inakera.

Advice upatikanaji wake na bei (rough figures ikibidi)

[emoji1374]
 
Habari Mkuu, tatizo la taa ya ABS kuwaka in nini?
 
Busha za Nissan tiida zinauzwa bei gani na kaz yake ni nn ?
 
Na hili wengi mafund wa mtaani hawalijui, zaidi wanabuni au wanahisi tatizo ni VVTI, Ila tatizo la CHECK ENGINE kuwaka huwa ni gas cap kuwa loose hivo hufanya mafuta ku evaporate,

Hivo badilisha kama kimeharibika
Mbona kama wewe ndio fundi wa mtaani ivi. VVTi can cause check engine kuwaka, sensors zote za engine na transmission zinawasha check engine. Pengine amaefanyiwa diagnosis ndio akaambiwa VVTi, cha msingi kama amefanya diagnosis na ameambiwa hivo step ya kwanza ni kuifungua vvti na kucheki pengine ina clog au pengine sensor tu imekuwa muwa.

Sio kifuniko cha fuel tank bana. Dharau check engine uje ujutie baadae
 
Mkuu mimi nina Mitsubishi L 200....old model ila tatizo kuu gari kuvuta upande nilienda kunyoosha ghafla jamaa aka niambia bush moja imekufa maan gari upande moja imelala,ukipitisha vidole ukingo wa tair upande moja haupiti ila upande wa pili vina pita shida ni nin mkuu?
 
MSAADA TAFADHARI Toyota ist NIKISHA TEMBEA UMBALI MREFU SPEED MITA INAKUWA INA GANDA HAISOMI UNAWEZA KUTA NIPO KWENYE VIBAO VYA KUTEMBEA SPEED 50 NIMEPUNGUZA MWENDO YENYEWE INASOMA SPEED 80 ILA GARI IKIPOA INAKUWA FRESH UKITEMBEA UMBALI MREFU TATIZO ILO ILO NIPO MWANZA
 
Natafuta Oxygen sensor bank 1 na 2, Air mass sensor za pajero. model CBA - V93W
Je unafahamu pa kuzipata?
 
Mwenye swali au maswali kuhusu Magari ,kuanzia mifumo yote SUSPENSION SYSTEM,COOLING SYSTEM,BRAKE SYSTEM,STEARING SYSTEM ,ENGINE

Uliza hapa ujibiwe
Mkuu gar yangu ist inazima engine nikiwa kwenye mteremko mkal hasa nikiwa nimeweka neutral, pia leo wakat narudi reverse kwenye tope kdogo ikazima pia
Je shida n nn?

Mafuta yapo ya kutosha nusu tank
Siwek mafuta ya vdumu nawekaga mafuta shel Gpb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…