Mwenye tetesi za TCU

Cizokalugwagu

Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
23
Reaction score
1
Wanasema ngojangoja yaumiza matumbo. Jamani ni nani aliye na tetesi au habari za uhakika ni lini TCU watatoa majina ya wanafunzi wataojiunga na vyuo vikuu?
Hakuna kazi ngumu kama kusubiri. Japo tetesi tu za matumaini!
 
Subira yavuta kheri wapendwa unaweza pangiwa chuo ukatamani kurudi tena ww endelea na pumziko kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…