Mwenye Tractor hii ni fursa ya kujikwamua kiuchumi kwa wilaya mpya ya Malinyi

Mwenye Tractor hii ni fursa ya kujikwamua kiuchumi kwa wilaya mpya ya Malinyi

CHAPTER5

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2015
Posts
556
Reaction score
506
Habari ya mchana ndugu zangu!
Ndugu wana Jf nimeona nije kwenu ili mwenye uhitaji tufanye kazi pamoja.
Ndugu wana jf nahitaji mtu yeyote mwenye kumiliki tractor ambalo ameona limeshindwa kumwingizia kipato kizuri ama anayetaka tractor lake liweze kumpatia faida kwa muda mfupi tuwasiliane ili tufanye kazi pamoja katika wilaya mpya ya Malinyi ipo mkoa wa Morogoro.
Mimi ni msimamizi mzuri wa mali yako , hutajuta kunipa nafasi hiyo kwani Malinyi bado kunafulsa nzuri ya kiuchumi.
Kwa aliyetari ani PM ili tufanye mazungumzo zaidi .
Nawasilisha.
 
mkuu hiyo ni fursa vile umeona, bei huko kwa heka ni bei gani na ni aina gani ya mashamba/udongo na msimu unaanza mwezi wa ngapi na unaisha lini?
 
Back
Top Bottom