Tetesi: Mwenye ubuyu kamili wa Menina

Tetesi: Mwenye ubuyu kamili wa Menina

Pisi kali

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2019
Posts
1,234
Reaction score
2,535
Eid al Adha mubarak wana JF

Jamani mwenye ubuyu kamili wa Menina na anayedaiwa kuwa alikuwa mumewe wamezaa mtoto ana kama miezi miwili mitatu, atupashe[emoji33][emoji33]

Nasikia bi dada ni mgonjwa na hakumtaarifu mwenzie mume kaumwa hoi hoi hadi umauti kumkuta huku Menina akiwa location[emoji46][emoji46]🥱

Adjustments.jpg
 
Back
Top Bottom