Wanazika au wanasafirisha?mume kaumwa hoi hoi hadi umauti kumkuta huku menina akiwa location
Akamwacha ajifie ili kuepuka bugdha za kuhudumia mgonjwa , wadada wa mjini hatar SanaWambea wa Insta wanasema Bibie alimfungia mgonjwa ndani[emoji29]
Ohooo!!!!Ko hata mwijaku ana wadudu? Bahati mbaya yeye wamekimbilia kichwani
Duh!!!Wambea wa Insta wanasema Bibie alimfungia mgonjwa ndani[emoji29]
Zina nini, sijazionaSasa hatujui ni ukweli ama maneno tu ya wajaaa[emoji848] Ila video’s za huyo mumewe zinatisha
Masikini pole zake, apumzike kwa amaniKweli huu ugonjwa changamoto jamani jamaa wanasema ndio uyo kwenye kiti cha magurudumu
View attachment 1862306
Labda Katiba mpyaZina nini, sijaziona
Hivi ni ndoa ya ngapi hii?Wambea wa Insta wanasema Bibie alimfungia mgonjwa ndani[emoji29]