Tetesi: Mwenye ubuyu kamili wa Menina

Aliwahi kushiriki Bss ni mwanamuziki na muigizaji (yupo kwenye jua kali Dstv) pia ni Mc bila kusahau ana video zake za utamu[emoji847][emoji847]
bila kusahau ana video zake za utamu[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji992]
 
Reactions: BAK
mmmmmmhhh
 
Ha ha ha ha jf raha sanaaa
 
Somo la condom tangu shule nimefundishwa, halikunihitaji nifundishiwe hospitali.
Sababu za kupasuka condom ni kama hayo mafuta ya kukaangia viazi, watengenezaji wenyewe wanakwambia usitumie lubricant za ovyo. Ngoja ambao condom zinapasuka walete mrejesho
 
huwez jua huyo menina nae kapitia yepi vijana msipende kitonga tafuteni kazi hao ndugu wanalalamika walishapeleka msaada? ukute alikua anahangaika pesa ya kumlea yeye mgonjwa na watoto please dont judge tusubiri na yeye aongee tu balance story.
 
Aliwahi kushiriki Bss ni mwanamuziki na muigizaji (yupo kwenye jua kali Dstv) pia ni Mc bila kusahau ana video zake za utamu[emoji847][emoji847]
Dadeki! [emoji23][emoji23] Umemwelezea utafikiri unataja CV zako! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
huwez jua huyo menina nae kapitia yepi vijana msipende kitonga tafuteni kazi hao ndugu wanalalamika walishapeleka msaada? ukute alikua anahangaika pesa ya kumlea yeye mgonjwa na watoto please dont judge tusubiri na yeye aongee tu balance story.

Kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…