Tetesi: Mwenye ubuyu kamili wa Menina

Kumbe femu ana ukimwi daaah Mungu turehemu
 
Menina by then alikuwa amepanga Sinza na hana kodi, udangaji ndio unawaweka wanawake wengi kwenye appartments:
Wapo wengi waliojipigia, in short pale si mfereji tena, ni mtaro, ukioa pale unateleza na usitegemee kumfikisha kilele cha kibo wala kilimanjaro.
Nilikuwa najiuliza inakuwaje menina binti mzuri amvulie nguo mshamba mwijaku? Kumbe Menina alikuwa analigawia "Gridi ya Taifa".
 
Naomba ile connection yake na Mwijaku usi-iweke hapa, ba
Ile Connection yake na Mwijaku usiweke hapa, iwache kwenye magroup ya watsup.
 
Hatari mno.
 
Kama kuna kosa aliwahi kufanya Mwijaku la kijinga mno ni kuvujisha video ya huyu dada Menina, alimkosea sana aisee na kumshushia hadhi mno
Huyu dada ndio kwanza alikua anapata umaarufu dili za ubalozi matangazo nk ghafla taswira yake inakuja kuchafuliwa
Inasikitisha Sana aisee
Sijui ile kesi yake iliishia wapi ila niseme Mwijaku kwenye hili alikosea sana. Wanaume achen tabia hizo tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…