Mwenye uekewa zaidi kuhusu minada mikubwa ya mazao ya biashara kama Ufuta,Korosho

Mwenye uekewa zaidi kuhusu minada mikubwa ya mazao ya biashara kama Ufuta,Korosho

Muster mind

Member
Joined
Jun 9, 2019
Posts
9
Reaction score
6
Habarini katika kufatilia mambo ya ununuzi wa mazao kama ufuta na korosho huwa kunakua na taratibu za tofauti kidogo hasa kuhusu minada ambayo huwa inatangazwa tarehe na wanunuzi hujitokeza kununua.

Personally nilikua nikielewa kua mnapoenda kwenye hii minada mnaanza kushindana bei kama ilivyo minada mingine then unanunua kulingana na mzigo unahitaji na pesa uliyonayo kumbe huwa sio hivyo kabisa..nilielezewa juu juu nikasema nijaribu kuliulizia humu kwa yeyote mwenye uzoefu na uelewa namna mazao haya huuzwa naomba kueleweshwa kiundani.

Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom