mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Nataka niwe wakala wa Gesi za majumbani nifanyaje?
Kampuni ninazohitaji ni Orxy na Taifa.
Kampuni ninazohitaji ni Orxy na Taifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe sio?Uzi mzuri umekosa wachangiaji
Kama hujui kitu kwa nini umechangia? (In Sirro's voice)Me sjui kitu mkuu
Wewe sio?
Wazee bhn,bado mnakaukoroni fulani ivi[emoji23]Kama hujui kitu kwa nini umechangia? (In Sirro's voice)
Mtoa mada vuta subira. Watakuja wadau kukupa majibu. Ungekuwa uko Dodoma, ningekushauri uende Pale Ihumwa. Ni kilomita chache kutoka stendi kuu ya Nane Nane. Kuna kituo kikubwa cha Taifa gesi.
Naamini wangekupa A B C.