TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Habari wadau!
Kwenye ile kesi ya "I can't breath" ya George Floyd Mmarekani mweusi kuna maneno nilikuwa nayasikia ambayo ni 1st degree, 2nd degree murderer na Ferony.
Pia kuna maneno kama Homocide, Suicide, Manslaughter je haya yanakuwa na maana gani kisheria na hukumu zake zipoje kwa hapa bongo maana juzi nimesikia mtu aliyeua amehukumiwa miaka minne jela wanataaramu wa sheria ebu tupeni ufafanuzi sisis maamuma wa sheria.