Tufanye watu wawili wamepanga deal la kumuua mtu kwa sababu yoyote, let's say life insurance. Kwakua wamekaa, wakaweka master plan, iyo ni first degree.
Ila second degree ndio ile umemfumania mtu, au umemkuta mwizi, ukampiga, kwa bahati mbaya au uzembe.
Felony sio murder ila ni criminal case kubwa, ambayo adhabu yake ni kifungo cha maisha, au deaths, mfano: murder, rape, burglary.
Homicide: case inayohusu mtu kumuua mtu.
Suicide: mfano mtu kujiua.
Manslaughter: ni kuua bila kukusudia, yaani ipo chini ya 2nd degree.