Mwenye uelewa kuhusu biashara ya kuuza soda za jumla.

Joined
Jan 8, 2015
Posts
23
Reaction score
8
Habari za J,pili wapendwa! Nina mtaji wa Mil 3 kwa eneo ninaloishi nahisi biashara yakuuza soda za jumla inaweza kunilipa. Naomba mwenye uelewa wa hii biashara anijuze masharti yake pia kianzio kama mtaji ni kiasi gani. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu!
 
Wazo hilo ongezea na maji ya jumla .. azam malta,, na product ya Bakhresaa.
 
Wazo hilo ongezea na maji ya jumla .. azam malta,, na product ya Bakhresaa.
Thanx, but kama umeshawahi kuifanya hii biashara nipe taarifa zaidi mkuu. Mfano faida ikoje kwa kila kreti na kianzio cha mtaji ni kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…