Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
nimekupata mzee.ntaleta mrejesho.kuhusu bei ni kuangalia tu ukubwa wa mzigoChukua gari hiyo huwa haina matatizo,wanao kutisha kuhusu breki si kweli hiyo Isuzu ukimpata fundi anakufungia mpaka Stop Engine na mfumo wote wa Breki.
Spea zinapatikana kirahisi,gari inatumia mafuta vizuri.
Changamoto utayopata ukimpa dereva ni kushushiwa pesa ya malengo kwa madai ya gari kuwa ya zamani.
ni kweli mzee.nitaweka tairi mpya.nitarepair engine + rangi mpyaHakuna gari ngumu kama hii kuwahi kutokea
brake zitawekwa mpya + engine brakeKilakitu liko vizuri sana ni gari la kazi ila ndugu naskia ukiliona linakuja lipishe usijekua wewe ndio breki hapo kwenye breki utakua umeelewa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
mzee naipenda sana Isuzu cha muhimu nitarepair body & engine + nitaweka tairi mpyaTechnology ya zamani sana. Hizo ni gari za miaka ya early 80'z..Ungesogea mbele kidogo kwenye fuso..ukipata 6D 17 ya mwaka 1996 - 1998 hapo, utaenjoy zaidi kwa kazi hizo.
Gari yandotoyanguinakuaje wazee.nina shughuli ya ujenzi hivyo nataka kununua tipper Isuzu direct injection kwa ajili ya kubeba mawe, mchanga, tofali, cement mbao na bati.Pia nina mpango wa kuikodisha kwa shughuli za kubebea mawe na matofali baada ya ujenzi wangu kuisha.Wenye uzoefu na hii gari naombeni msaada wenu na uzoefuView attachment 1453401View attachment 1453402
Sent using Jamii Forums mobile app