Mwenye uelewa kusajili Channel

Mwenye uelewa kusajili Channel

una content ya kujaza masaa 24 ya siku ?.., kama una program peke yake its cheaper hio program kuipeleka kwenye TVs zilizopo tayari tafuta wafadhili na uirushe.., getting a local channel is one thing getting viewers in this day and age is entirely different ball game...
 
Habarini jamani naomba kuuliza nani ambaye ana uelewa wa kusajili local tv channel
Nenda tcra ila leseni ya FTA sio mchezo,jiulize mpaka leo local za FTA ni tano kwanini? Unataka iwe ya maaudhui gani kwa mfano?
 
Leta maelezo unataka local ya kulipia au bure(FTA)? Maudhui yakoje?
 
Back
Top Bottom