Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari ndugu
Hapa nazumgumzia wale walio katika sekta ya ufugaji na ambao hawapo ila wana uelewa na jambo hili tujuzane hiki chakula aina ya concentrate ubora wake na kampuni ambazo zina chakula bora pia kwa aliewahi kukitumia atupe mafanikio yake
Hapa nazungumzia kuku chotara aina ya sasso umri ni kuanzia vifaranga mpaka wanakuwa wakubwa kwa kupelkwa sokoni
Concentrate ni neno pana. Lina maana ya chakula kilichoongezewa virutubisho ili kuboresha ukuaji wa mnyama husika,mfano kwa kuku. Unapozungumzia kuku,hiki chakula lazima kitofautiane kulingana na breeds ya kuku mwenyewe,mfano kama ni kuku wa nyama au wa mayai,chotara au kienyeji. Pia kinatofautiana kulingana na stage ya ukuaji wa hao kuku sabab katika kila stage kuku anakuwa na mahitaji tofauti,kifaranga,ni tofauti na kuku mzima. Ili mtu aweze kukuelewesha vizuri nakushauri ufunguke ni kuku wa aina gani katika stage ipi ya ukuaji ndo watatoa ushauri wa kampuni nzuri ya kutengeneza hicho chakula.
Concentrate maana yake hicho chakula ukikichukua una ki delute, ni sawa na kuchukua Juice ambayo ili uinywe lazima uiongezee maji.