Mwenye uelewa na biashara ya Dawa za kuulia Wadudu kwenye mimea please

Joined
Jul 23, 2023
Posts
38
Reaction score
136
Habar wadau wa JamiiForums,

Naomba kuuliza nawezaje kufanya biashara ya Madawa ya kuulia wadudu shambani au kwenye mimea ivi kuna ugumu gani

Pia faida na hasara zake ni zipi?
 
Unauza Kwa mfumo upo?
Unasambaza au unafungua agrovet
 
Kama utapata endorsement ya uhakika fanya kutembea uwajumlishie wenye maduka na wakulima direct
 
Nataka niwe natoa nje ya nchi mtaji ni kama bei gan
Ni ngumu mtu kukupa ushauri coz hata wewe mwenyewe ni kama hujuw kipi unataka kufanya.

Biashara unaanzisha wewe sie hatujuw mtaji wako hlf unatuuliza sisi mtaji ni kama bei gani??

Hakuna mtaji rasmi wa kuanzisha biashara duniani isipokuwa Mtaji ulionao ndiyo unaokupa uelekeo uanzishe biashara ya ukubwa gani.

Wewe ulipaswa kufanya utafiti mwenyewe baada ya hapo ukaona mtaji wako SISI TUNAPASWA KUANZIA KUSHAURI BAADA YA WEWE KUJIELEZA.

Hata biashara hujuw unataka ufungue duka, au usambaze wa kwa wahitaji.

Jipange kwanza uje na andiko lenye mashiko.

NB. MADUKA YA DAWA YOTE IWE MIFUGO AU BINADAMU YANALIPA SANA.
 
Boss wangu unanishaur nifanye research then unaniambia mm kuja uku bado sijajianda na sijui nataka nn mkuu hii ndio research yenyewe pia mtaji wa milioni 100
 
Back
Top Bottom