Ni ngumu mtu kukupa ushauri coz hata wewe mwenyewe ni kama hujuw kipi unataka kufanya.
Biashara unaanzisha wewe sie hatujuw mtaji wako hlf unatuuliza sisi mtaji ni kama bei gani??
Hakuna mtaji rasmi wa kuanzisha biashara duniani isipokuwa Mtaji ulionao ndiyo unaokupa uelekeo uanzishe biashara ya ukubwa gani.
Wewe ulipaswa kufanya utafiti mwenyewe baada ya hapo ukaona mtaji wako SISI TUNAPASWA KUANZIA KUSHAURI BAADA YA WEWE KUJIELEZA.
Hata biashara hujuw unataka ufungue duka, au usambaze wa kwa wahitaji.
Jipange kwanza uje na andiko lenye mashiko.
NB. MADUKA YA DAWA YOTE IWE MIFUGO AU BINADAMU YANALIPA SANA.