Mwenye uelewa na hili land cruiser 2016

Mwenye uelewa na hili land cruiser 2016

Ukaridayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Posts
515
Reaction score
476
Hili dude nilibahatika kuona makala yake KBC wakilielezea lakini kwa bahati mbaya sikuambulia kitu...

Ktk kipindi cha IGNITION pale KBC walilimwagia sifa kem-kem hadi nikastaajabu...

Nimeona nianzishe uzi ili wale wakali wa mashine watuelezee vzr... TOYOTA LAND CRUISER YA 2016 ina kipi kipya..
Kwa matoleo yao ya diesel na petrol.

Hii V8 landcruiser 2016 ichambuliwe mwanzo mwisho.

Mwisho ningependa kufahamishwa hivi kwa mjapani gari yake kubwa yenye ingine ya V8 ni landcruiser tu ama ana gari nyingine alizozibebesha huo mzigo?

 
Mkuu umetisha ila fanya kazi uweze kulimiliki hili
 
sio kweli gari ya mjapan toyota zenye mpangilio wa cylinder 8 kwa muundo wa V ni toyota cruiser tu ...zipo kadhaa za hvo na sio land cruiser tu......labda ww unaijua cruiser tu
 
Hivi hili limezizidi nini gari kama audi au lamboghini au bugatti veyron
 
Back
Top Bottom