Tena ukute ndo kila kitu unalipiwa na ofisi....dereva, mafuta, service. Full PEPO!Hio mashine ni hatari sana.. Tutafute hela tu vijana wenzangu japo peponi kupo ila ni raha kuanza mazoezi ya peponi ukiwa nchini!
Aisee ni noma yani, we ni kubofya start engine na kuminya wese tu.Tena ukute ndo kila kitu unalipiwa na ofisi....dereva, mafuta, service. Full PEPO!
Hili designer wake ni kutoka kiwanda cha ndege za Antonov.Aisee ni noma yani, we ni kubofya start engine na kuminya wese tu.
Amejitahidi sana kwa hio concept aliofanikisha kuwa 2016 LC v8Hili designer wake ni kutoka kiwanda cha ndege za Antonov.
Nissan ni toyota?Wanazo pia Nissan V8
Infiniti Qx 70
Hata ningekuwa mm sionyeshi vyeti kamweHalafu mnataka Bashite aonyeshe vyeti kweli..? Acheni bana wanasiasa wanakula raha bana