Ngoja waje....CRDB walikuwa na kongamano la kutoa elimu kuhusu Biashara pale mlimani city alafu mgeni rasmi I mean guest of honor ni Dominic Mmasi CEO wa room of jeans??
Kwahiyo sasa hivi paka Corporate entity nazo zinafuata trend. Trust me huyu mdau asinge trend kwenye hile interview lets impact millions aliofanya na Amri sally asingekuwa guest of honor hapo.
Now it’s official we are living in paradigm of trending. Algorithms are now running the boardrooms.
Una point sana.Na niffer
Hao ni influencers sio wafanyabiashara
Kwanza hizo biashara za niffer sio za hiyo lifestyle anayoonesha aseme anatoa wapi hela
Si anapanua mapaja au kipi kingine ulitaka awe anafanya kuingiza pesa? Kumbuka ni mwanamke yule yupo tayari kujisellprice ili pesa iingieanayoonesha aseme anatoa wapi hela
Kumer hizi hizi tunazobonda weekend ndo zinampa maisha vile?anapanua mapaja au kipi kingine ulitaka awe anafanya kuingiza pesa?
Sasa wangemjuajeCRDB walikuwa na kongamano la kutoa elimu kuhusu Biashara pale mlimani city alafu mgeni rasmi I mean guest of honor ni Dominic Mmasi CEO wa room of jeans??
Kwahiyo sasa hivi paka Corporate entity nazo zinafuata trend. Trust me huyu mdau asinge trend kwenye hile interview lets impact millions aliofanya na Amri sally asingekuwa guest of honor hapo.
Now it’s official we are living in paradigm of trending. Algorithms are now running the boardrooms.
Hapana bado hela ya kubondwa sio hiyo ya kuandika magari niffer 1 niffer 2 na jetourSi anapanua mapaja au kipi kingine ulitaka awe anafanya kuingiza pesa? Kumbuka ni mwanamke yule yupo tayari kujisellprice ili pesa iingie
Acha kupotosha umma, mgeni rasmi hakuwa yeye bali niCRDB walikuwa na kongamano la kutoa elimu kuhusu Biashara pale mlimani city alafu mgeni rasmi I mean guest of honor ni Dominic Mmasi CEO wa room of jeans??
Kwahiyo sasa hivi paka Corporate entity nazo zinafuata trend. Trust me huyu mdau asinge trend kwenye hile interview lets impact millions aliofanya na Amri sally asingekuwa guest of honor hapo.
Now it’s official we are living in paradigm of trending. Algorithms are now running the boardrooms.
Ndio hakuwa mgeni rasmi bali katrend yeye.Acha kupotosha umma, mgeni rasmi hakuwa yeye bali ni
CRDB walikuwa na kongamano la kutoa elimu kuhusu Biashara pale mlimani city alafu mgeni rasmi I mean guest of honor ni Dominic Mmasi CEO wa room of jeans??
Kwahiyo sasa hivi paka Corporate entity nazo zinafuata trend. Trust me huyu mdau asinge trend kwenye hile interview lets impact millions aliofanya na Amri sally asingekuwa guest of honor hapo.
Now it’s official we are living in paradigm of trending. Algorithms are now running the boardrooms.
Uendeshaji wa biashara umeshabadilika mkuu. Vijana hawataki zile mambo za kumleta mheshimiwa diwani na kuishia kuwaambia undeni vikundi mkachukue mikopo ya halmashauri. Kina Dominick, Niffer na kina Vunjabei kwa sasa wanasikilizwa na vijana wenzao kuliko hata baadhi ya mawaziri. CRDB wako sawa sana kibiashara.