Mwenye uelewa na hili soko la DSE vizuri, nahitaji msaada

mghanga_p

Member
Joined
Feb 25, 2018
Posts
46
Reaction score
15
kwa yoyote mwenye uelewa na hili soko la DSE vizuri, nahitaji msaada ile kujua kwamba ni lazima uwe na broker ili uweze kujisajili kama investor mpya?! nimejaribu kuwasoma vizuri kupitia website yao lakini sijapata ufasaha kuhusu hawa brokers na je nikiwachagua pale kwenye kujaza fomu ya kujisajili kupitia page yao itakuwa na implication gani kwangu baadae?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…