Mwenye uelewa na mdhamana katika mambo ya kesi

Mwenye uelewa na mdhamana katika mambo ya kesi

reuben kombe

Member
Joined
Jul 8, 2016
Posts
53
Reaction score
55
Hamjamboni nyote wanajamii wenzangu?

Kwa nia njema kabisa naomba kuekeweshwa kuhusu mzamana.

Je, baada ya mtu kuwekewa mzamana (pesa) mwisho wa kesi fedha hizo hurudishwa kwa mhusika?

Kuuliza sio ujinga wapendwa!!!
 
Back
Top Bottom