reuben kombe Member Joined Jul 8, 2016 Posts 53 Reaction score 55 Aug 16, 2016 #1 Hamjamboni nyote wanajamii wenzangu? Kwa nia njema kabisa naomba kuekeweshwa kuhusu mzamana. Je, baada ya mtu kuwekewa mzamana (pesa) mwisho wa kesi fedha hizo hurudishwa kwa mhusika? Kuuliza sio ujinga wapendwa!!!
Hamjamboni nyote wanajamii wenzangu? Kwa nia njema kabisa naomba kuekeweshwa kuhusu mzamana. Je, baada ya mtu kuwekewa mzamana (pesa) mwisho wa kesi fedha hizo hurudishwa kwa mhusika? Kuuliza sio ujinga wapendwa!!!
Miss Natafuta JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 27,031 Reaction score 49,928 Aug 16, 2016 #2 ndio