mpebasi-jr
Member
- Aug 2, 2016
- 56
- 32
Habarini wanajamvi,
Naomba kufahamu kwa mwenye uelewa kuhusu ugonjwa wa TAMBAZI ambao dalili zake ni maumivu ya ndani kwa ndani, kwenye mikono au miguu.
Ahsante.