troiker
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 1,551
- 2,573
Nipo eneo moja wanarasimisha makazi, barabara wanazoziandaa hapa mtaani,zipo za mita 8, mita 6, na mita 4
Swali (1) je, barabara ya mtaa yenye mita 6 upana, ikiwekewa na mitaro gari zinweza pishana?
Swali (2) je, barabara yenye upana wa mita 6 inaweza kuwekewa rami na serikali ?