Nia yetu kurasimisha makazi ni ili mlipe kodi ya aridhi mnayokaliaNipo eneo moja wanarasimisha makazi, barabara wanazoziandaa hapa mtaani,zipo za mita 10, mita 8, na mita 6
Swali (1) je, barabara ya mtaa yenye mita 6 upana, ikiwekewa na mitaro gari zinweza pishana?
Swali (2) je, barabara yenye upana wa mita 6 inaweza kuwekewa rami na serikali ?
Hizo za mita sita zinawekewa mitaro ndio, ila zina masharti. Ni gari ndogo tu ndio zitapita na ni one way, hakuna kupishana. Mara nyingi barabara inakuwa fupi inaenda kukutana na barabara ya two ways. Hilo linawezekana ila barabara haitakiwi kuwa ndefu sana.Nipo eneo moja wanarasimisha makazi, barabara wanazoziandaa hapa mtaani,zipo za mita 10, mita 8, na mita 6
Swali (1) je, barabara ya mtaa yenye mita 6 upana, ikiwekewa na mitaro gari zinweza pishana?
Swali (2) je, barabara yenye upana wa mita 6 inaweza kuwekewa rami na serikali ?
Mita sita ni kubwa ndugu yangu, gari zitapisha vizuri tu.Nipo eneo moja wanarasimisha makazi, barabara wanazoziandaa hapa mtaani,zipo za mita 10, mita 8, na mita 6
Swali (1) je, barabara ya mtaa yenye mita 6 upana, ikiwekewa na mitaro gari zinweza pishana?
Swali (2) je, barabara yenye upana wa mita 6 inaweza kuwekewa rami na serikali ?
Hoja unayo japo dhaifu na umeiwakilisha kizembe sana,kazi ya hili jukwaa ni namna bora ya kubadilishana fikra uelewa kwa nidhamu,huna akiliNia yetu kurasimisha makazi ni ili mlipe kodi ya aridhi mnayokalia
Barabara iwe ya mita moja, nne au 6 au 10; magari yaweze au yasiwe kupishana hiyo ni Shauri yenu.
Muweke mitaro au musiweke mitaro ni juu yenu; mradi sisi tunavuta kodi yetu haina shida.
Halafu ili ujenge barabara kubwa na yenye mitaro kwenye eneo la squatter ni lazima uvunje majengo ya watu. Huoni kwamba serikali tutakosa asali ya kulamba i.e.kodi ya majengo ?
Siku nyingine uwe unauliza yenye akili
Je ukubwa huo ni pamoja na mitaro ya mita moja kila upande?Mita sita ni kubwa ndugu yangu, gari zitapisha vizuri tu.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Makini sana boss wangu,imenikaa hii hoja yakoHizo za mita sita zinawekewa mitaro ndio, ila zina masharti. Ni gari ndogo tu ndio zitapita na ni one way, hakuna kupishana. Mara nyingi barabara inakuwa fupi inaenda kukutana na barabara ya two ways. Hilo linawezekana ila barabara haitakiwi kuwa ndefu sana.
Na hii inasababishwa na kujenga kabla ya kupima, hivyo wanajitahidi angalau mpate barabara, la sivyo wabomoe nyumba za watu na kuwalipa fidia.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hoja yakoTanzania suala la mipango miji ni kizungumkuti. Mkoloni kaja kaacha maeneo ya kueleweka kama Masaki na Obay.
Sisi waswahili tumepelekwa kusoma na bado mipango miji inatupa tabu. Na ukifanya rejea hata Magu hii wizara ilimshinda maana ina uozo usihimilika na ngumu kurekebisha(Kikwete alisema kipindi cha msiba wa Magu)
Tuje kwenye suala lako sasa na hizo barabara za mita ulizotaja. Hapo hakitafanyika chochote zaidi ni lazima mtaa wenu muwe na watu wenye ustaarabu na mmege viwanja vyenu kwa ajili ya njia mapema kabla haijawa too let.
Mapendekezo juu ya changamoto hii.
Kwa sasa tumeshachelewa, squaters zipo nyingi sana. Ila tunaweza punguza kasi hii kwa kuipima nchi nzima hasa yale maeneo mapya kabla hali haijawa mbaya zaidi.
Tena siku hizi teknolojia ishakuwa na itakuwa rahisi kupima maeneo yote ya nchi kwa drones, ila bajeti lazima iwekwe maana wanasiasa wetu wanaona hiyo kisiasa haitawapa point 3 za ushindi.
Hapa nasubiri mchoro niuone maana wanakasetilaiti wanako,na kuna maeneo hawajayapima kipimo kimekataa ya kwamba wako kwenye reserve ya mto,Tanzania suala la mipango miji ni kizungumkuti. Mkoloni kaja kaacha maeneo ya kueleweka kama Masaki na Obay.
Sisi waswahili tumepelekwa kusoma na bado mipango miji inatupa tabu. Na ukifanya rejea hata Magu hii wizara ilimshinda maana ina uozo usihimilika na ngumu kurekebisha(Kikwete alisema kipindi cha msiba wa Magu)
Tuje kwenye suala lako sasa na hizo barabara za mita ulizotaja. Hapo hakitafanyika chochote zaidi ni lazima mtaa wenu muwe na watu wenye ustaarabu na mmege viwanja vyenu kwa ajili ya njia mapema kabla haijawa too let.
Mapendekezo juu ya changamoto hii.
Kwa sasa tumeshachelewa, squaters zipo nyingi sana. Ila tunaweza punguza kasi hii kwa kuipima nchi nzima hasa yale maeneo mapya kabla hali haijawa mbaya zaidi.
Tena siku hizi teknolojia ishakuwa na itakuwa rahisi kupima maeneo yote ya nchi kwa drones, ila bajeti lazima iwekwe maana wanasiasa wetu wanaona hiyo kisiasa haitawapa point 3 za ushindi.
Mitaro ya mita moja Ni mikubwa sana kwa hizo barabari labda huyo ya mita 10 na 8Je ukubwa huo ni pamoja na mitaro ya mita moja kila upande?
Sijui ambaye hana akili ni sisi au ni nyie mapopoma mliyekwenda kujilundika sehemu moja kama siafu, halafu mnataka barabara ya njia sita na mitaro ya maji.Hoja unayo japo dhaifu na umeiwakilisha kizembe sana,kazi ya hili jukwaa ni namna bora ya kubadilishana fikra uelewa kwa nidhamu,huna akili
Uko sahihi wajifunze kujenga katika maeneo yaliyopangwa na kupimwa huko watapata barabara zilizopo Kwa mujibu wa Sheria na kanuni. Urasimishaji haufanyiki kuboresha makazi wala barabara lengo ni kupata uhalali wa kuwabana Kwenye maduhuli (Kodi ya Ardhi).Nia yetu kurasimisha makazi ni ili mlipe kodi ya aridhi mnayokalia
Barabara iwe ya mita moja, nne au 6 au 10; magari yaweze au yasiwe kupishana hiyo ni Shauri yenu.
Muweke mitaro au musiweke mitaro ni juu yenu; mradi sisi tunavuta kodi yetu haina shida.
Halafu ili ujenge barabara kubwa na yenye mitaro kwenye eneo la squatter ni lazima uvunje majengo ya watu. Huoni kwamba serikali tutakosa asali ya kulamba i.e.kodi ya majengo ?
Siku nyingine uwe unauliza maswali yenye akili