Mwenye uelewa wa madini haya

Zacky20

Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
24
Reaction score
17
Wadau habarini za muda huu, naomba mwenye uelewa na madini yafuatayo anipe shule kidogo juu ya aina ya madini, soko lake na bei.

Kuna rafiki yangu amepata sehemu yapo lakini hajui yanatumika kwa shughuli gani na bei pia hajui

 
Tafadhali nitumie picha nzuri za hayo ya mwanzo,
Hayo marefurefu na yenye kama u-blue kwa mbali niyaone vizuri.
Nadhani,
Huenda yakawa ni Aqua-marine.

WhatsApp:+255-714-59-15-48.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…