Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asset haiko limited to mali isiyohamishika tuu inaweza kuwa pia inahamishika. Na pia unaweza kuwa na mali isiyohamishika (nyumba au kiwanja kama ulivyotaja) na ikawa liability.Liquidity ni kipimo cha uhitaji wa bidhaa kwenye soko
Asset ni mali isiyohamishika kama vile nyumba, kiwanja n.k
Liability ni mali ambayo unamiliki kwa mkataba, mkopo n.k kimsingi hii huwa inakugharimu..
Equity ni mgawo wa umiliki katika biashara au uwekezaji kulingana na pesa alichangia mtu kwenye biashara au uwekezaji husika.
Mfano (15% equity to 15mil.) n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Agreed!Asset haiko limited to mali isiyohamishika tuu inaweza kuwa pia inahamishika. Na pia unaweza kuwa na mali isiyohamishika (nyumba au kiwanja kama ulivyotaja) na ikawa liability.
Simply asset ni kitu unachomiliki ambacho kinakuingizia wewe faida yani hakikuli pesa badala yake kinakuingizia pesa. Na liability ni kinyume chake.
Umejitahidi kuelezea ila Kuna makosa kwenye maelezo yako.Liquidity ni kipimo cha uhitaji wa bidhaa kwenye soko
Asset ni mali isiyohamishika kama vile nyumba, kiwanja n.k
Liability ni mali ambayo unamiliki kwa mkataba, mkopo n.k kimsingi hii huwa inakugharimu..
Equity ni mgawo wa umiliki katika biashara au uwekezaji kulingana na pesa alichangia mtu kwenye biashara au uwekezaji husika.
Mfano (15% equity to 15mil.) n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Liquidity = UkwasiUmejitahidi kuelezea ila Kuna makosa kwenye maelezo yako.
Mfano neno liquidity.
Liquidity-ni hali ya kitu/mali kuweza kubadilishwa kwa pesa kiurahisi bila kuathiri thamani yake.
Mfano wa mali zenye liquidity-dhahabu,hisa.
Hatari sana.Daby bila kusahau hii kitu Fiscal deficit....
Nategemea kuimeza Report yetu ile ndio nije kukueleza.
Hatari sana.
I was just thinking!Tu wavivu sana wa kusoma siku hizi!Mtu anaweza akaona tangazo akaliacha akaenda kuuliza linasemaje!Unajua kitu kinachoitwa 'Google' ???
Asante sana....Sasa mchumi unamuuliza mwanachi wa kawaida kweli wakati nilitegemea uchukue jimbo mwaka huu?
Pungufu ya pesa.
Endelea kuchimba chimba hizi terms za kiuchumi tutakufikiria fikiria...tehteh.Asante sana....
Hivi Longido watanikubali kweli.....
Au kazi yangu kufuga Mbuzi
We ndio umeniogopesha mambo yako ni hatari.Mbona unaniogopesha...[emoji134][emoji134][emoji134]
We ndio umeniogopesha mambo yako ni hatari.Mbona unaniogopesha...[emoji134][emoji134][emoji134]