Mwenye uelewa wa maneno haya ya kiuchumi anisaidie

duletz

New Member
Joined
Apr 16, 2019
Posts
3
Reaction score
2
1. Liquidity
2. Asset
3. Bond
4. Liability
5. Equity
 
Unataka maelezo tu au specific definition ya hizo terms.
Coz mm sio mwanauchumi lkn naelewa tu yaani Nina idea kinacholengwa kwenye hizo terms
 
Liquidity ni kipimo cha uhitaji wa bidhaa kwenye soko
Asset ni mali isiyohamishika kama vile nyumba, kiwanja n.k
Liability ni mali ambayo unamiliki kwa mkataba, mkopo n.k kimsingi hii huwa inakugharimu..
Equity ni mgawo wa umiliki katika biashara au uwekezaji kulingana na pesa alichangia mtu kwenye biashara au uwekezaji husika.
Mfano (15% equity to 15mil.) n.k


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asset haiko limited to mali isiyohamishika tuu inaweza kuwa pia inahamishika. Na pia unaweza kuwa na mali isiyohamishika (nyumba au kiwanja kama ulivyotaja) na ikawa liability.

Simply asset ni kitu unachomiliki ambacho kinakuingizia wewe faida yani hakikuli pesa badala yake kinakuingizia pesa. Na liability ni kinyume chake.
 
Agreed!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejitahidi kuelezea ila Kuna makosa kwenye maelezo yako.
Mfano neno liquidity.
Liquidity-ni hali ya kitu/mali kuweza kubadilishwa kwa pesa kiurahisi bila kuathiri thamani yake.
Mfano wa mali zenye liquidity-dhahabu,hisa.
 
Umejitahidi kuelezea ila Kuna makosa kwenye maelezo yako.
Mfano neno liquidity.
Liquidity-ni hali ya kitu/mali kuweza kubadilishwa kwa pesa kiurahisi bila kuathiri thamani yake.
Mfano wa mali zenye liquidity-dhahabu,hisa.
Liquidity = Ukwasi


Kiswahili kigumu
 
Asante sana....

Hivi Longido watanikubali kweli.....
Au kazi yangu kufuga Mbuzi
Endelea kuchimba chimba hizi terms za kiuchumi tutakufikiria fikiria...tehteh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…