GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
We ndio umeniogopesha mambo yako ni hatari. Huwa nayaona(bila kuelewa) BBC, CNN etcMbona unaniogopesha...[emoji134][emoji134][emoji134]
We ndio umeniogopesha mambo yako ni hatari. Huwa nayaona(bila kuelewa) BBC, CNN etcMbona unaniogopesha...[emoji134][emoji134][emoji134]
Sure sure mkuuUmejitahidi kuelezea ila Kuna makosa kwenye maelezo yako.
Mfano neno liquidity.
Liquidity-ni hali ya kitu/mali kuweza kubadilishwa kwa pesa kiurahisi bila kuathiri thamani yake.
Mfano wa mali zenye liquidity-dhahabu,hisa.
❌❌ ❌Liquidity ni kipimo cha uhitaji wa bidhaa kwenye soko
Asset ni mali isiyohamishika kama vile nyumba, kiwanja n.k
Liability ni mali ambayo unamiliki kwa mkataba, mkopo n.k kimsingi hii huwa inakugharimu..
Equity ni mgawo wa umiliki katika biashara au uwekezaji kulingana na pesa alichangia mtu kwenye biashara au uwekezaji husika.
Mfano (15% equity to 15mil.) n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Let's say you are 100% right.. Happy now?[emoji777][emoji777] [emoji777][emoji777] huu ungekua mtihani ungepata sifuri a,k,a mviringo, zero, duara[emoji777][emoji777]
majibu sahihi yapo kwenye post namba 28
its not about being happy, its about correcting
Hata wewe umeijibu liquidity kwa limitation wakati ina maana tofauti,inategemea unazungumzia nini.kama ni kwenye assert,liability au financial market.Umejitahidi kuelezea ila Kuna makosa kwenye maelezo yako.
Mfano neno liquidity.
Liquidity-ni hali ya kitu/mali kuweza kubadilishwa kwa pesa kiurahisi bila kuathiri thamani yake.
Mfano wa mali zenye liquidity-dhahabu,hisa.
Toa maana zingine za neno liquidity ambazo unahisi hazitakuwa na limitations.Hata wewe umeijibu liquidity kwa limitation wakati ina maana tofauti,inategemea unazungumzia nini.kama ni kwenye assert,liability au financial market.
Nimesema inategemea unazungumzi nini.mfano kwenye assert liquidity ni kuwa na uwezo wa kulipa madeni kwa haraka/kutumia current assert,inamaana una cash ya kutosha na kwenye financial market inakuwa tofauti kama ulivyoelezea.Toa maana zingine za neno liquidity ambazo unahisi hazitakuwa na limitations.
Nakisi katika fedha iliyotarajiwa kupatikana/kutumika katika mwaka wa fedha husikaDaby bila kusahau hii kitu Fiscal deficit....
Nategemea kuimeza Report yetu ile ndio nije kukueleza.