Mwenye ufahamu juu ya bei ya mashamba bagamoyo.

Mwenye ufahamu juu ya bei ya mashamba bagamoyo.

raky

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
206
Reaction score
33
Wapendwa mwenye kujua bei ya Shamba/kiwanja bagamoyo kwa ekari moja anifahamishe kwa bagamoyo mjini au nje ya mji, asanteni
 
sehemu za kiwangwa ni kuanzia laki 9 HADI milioni na laki 3 Tegemeana na eneo la barabarani na ndani kidogo na ndani zaidi pia inategemeana na udongo gani wa mananasi
 
habari, kuna maeneo ya fukayosi, km 20 kutoka bagamoyo mjini, njia ya msata kabla hujafika kiwangwa, wanalima mananasi--ekari ya 70X70 shs laki 4, ukiingia ndani km chache kutoka barabara. Barabarani wanauza plot za viwanja kwaajili ya frame, bei ni kuanzia mil 8.
 
BTY way kama uko serious mi nnashamba kule--kwahiyo ni mwana kijiji tokea mwaka jana May-- naweza kukupa contacts! Karibu tulime!
 
Hello Rhysrose Mimi kwa bei hiyo nitahitaji eka 2 nipande miembe na machungwa inakubali huko au aridhi yake haifai kwa mazao hayo?
 
Mi mwenyewe nataka kujaribu, nimeulizia kuhusu machungwa wamesema ndio kwenyewe, maembe pia!
Kama uko serious na mahitaji ya ardhi, tuwasiliane ntakupa contacts!

Mimi pia nahitaji, naomba basi contact best!!
 
mkuu mi ni dalali nina mashamba mengi ya kuuza tuwasiliane 0657 145555 . 0755 099 291
 
nami nina kiwanja kipo kipalang'anda mkuranga karibu na baraba km hatua 5 kutoka barabara kuu nauza milion moja ni ukubwa wa robo ekari.....km unahitaji nicheki 0712 85 66 82
 
Back
Top Bottom