Hello Rhysrose Mimi kwa bei hiyo nitahitaji eka 2 nipande miembe na machungwa inakubali huko au aridhi yake haifai kwa mazao hayo?
Mimi pia nahitaji, naomba basi contact best!!Mi mwenyewe nataka kujaribu, nimeulizia kuhusu machungwa wamesema ndio kwenyewe, maembe pia!
Kama uko serious na mahitaji ya ardhi, tuwasiliane ntakupa contacts!