Mwenye ufahamu juu ya gari aina ya Toyota Blade

Mwenye ufahamu juu ya gari aina ya Toyota Blade

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,355
Reaction score
4,260
Habari zenu wadau.

Nimetokea kuipenda sana hivi gari toyota blade.

Imefanania na runx ila cc ndio changamoto, zinaikaribia ile ya brevis.

Sasa ukiachilia mbali na cc ni changamoto gani nyingine inaifanya model hii ya Toyota kuwa chache sana mjini?

Screenshot_20210718-120711_Chrome.jpg
 
Habari zenu wadau.

Nimetokea kuipenda sana hivi gari toyota blade.

Imefanania na runx ila cc ndio changamoto zinaikaribia ile ya brevis.

Sasa ukiachilia mbali na cc ni changamoto gani nyingine inaifanya model hii ya Toyota kua chache sana mjini?

View attachment 1858859
Kama una uwezo wa kuliagiza why uogope kuagiza spare zake..??
 
Mkuu hiyo gari naipata sana ni Toyota blade.. Zipo za aina mbili ya engine kuja moja ina engine ya 2az ambayo ndio inayokaa kwenye harrier ina cc 2300 na kuna engine nyngine ya V6 ina cc 3000.

Sasa watu wanachohofia hiyo gari mkuu kwanza kabisa ni hizo cc wanadhani itakuwa inakula mafuta kinyama wakati mimi nilipata mpaka 12km per 1 ltr nilienda nayo Mbeya kutoka Dar.

Cha pili hiyo gari mkuu inatembea usipime sababu ina engine kubwa na body nyepesi na gearbox nzuri yaani inachanganya balaa from 0- 100km/h ni almost 9 sec tu.
 
Habari zenu wadau.

Nimetokea kuipenda sana hivi gari toyota blade.

Imefanania na runx ila cc ndio changamoto, zinaikaribia ile ya brevis.

Sasa ukiachilia mbali na cc ni changamoto gani nyingine inaifanya model hii ya Toyota kuwa chache sana mjini?

View attachment 1858859
Toyota Blade ndiye successor wa Toyota Auris ambaye ni successor wa Toyota Corolla Runx/Alex. Tofauti ipo kwenye engine maana kapewa engine displacement kubwa ya 2.4cc na 3.0cc na body shape iko unique. Ni hatchback nzuri tu. Na ulaji wa mafuta si kivile kwa maana body yake ni ndogo kulingana na uwezo wa engine.

Hivyo engine inapata kazi ndogo ya kuipush iyo body yake. Ndo maana hii gari inatimua mbio kali. Sawa na kumbeba mtoto wa chekechea kwenye baskeli. Ni km ujabeba mzigo wwte, mbio Ni Kama Hujabeba mtu.
 
Back
Top Bottom