Kama una uwezo wa kuliagiza why uogope kuagiza spare zake..??Habari zenu wadau.
Nimetokea kuipenda sana hivi gari toyota blade.
Imefanania na runx ila cc ndio changamoto zinaikaribia ile ya brevis.
Sasa ukiachilia mbali na cc ni changamoto gani nyingine inaifanya model hii ya Toyota kua chache sana mjini?
View attachment 1858859
Toyota Blade ndiye successor wa Toyota Auris ambaye ni successor wa Toyota Corolla Runx/Alex. Tofauti ipo kwenye engine maana kapewa engine displacement kubwa ya 2.4cc na 3.0cc na body shape iko unique. Ni hatchback nzuri tu. Na ulaji wa mafuta si kivile kwa maana body yake ni ndogo kulingana na uwezo wa engine.Habari zenu wadau.
Nimetokea kuipenda sana hivi gari toyota blade.
Imefanania na runx ila cc ndio changamoto, zinaikaribia ile ya brevis.
Sasa ukiachilia mbali na cc ni changamoto gani nyingine inaifanya model hii ya Toyota kuwa chache sana mjini?
View attachment 1858859