Shedyngwavi
Member
- Apr 1, 2020
- 12
- 7
Mimi in mjasiliamali ambaye pia ninatoa huduma miamala ya kifedha kupitia simu yaani M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money na Holapesa. Ninatamani niweke na huduma za bank lakini mtaji wangu ni mdogo kwahiyo nimefikiri nikope pesa kwaajili ya huduma ya kibenki na mahali nilipo wateja wapo.
Swali langu, je kamisheni zake zitaniwezesha kulipa mkopo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali langu, je kamisheni zake zitaniwezesha kulipa mkopo?
Sent using Jamii Forums mobile app