Mwenye ufahamu kuhusu Huduma Uwakala wa Bank

Shedyngwavi

Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
12
Reaction score
7
Mimi in mjasiliamali ambaye pia ninatoa huduma miamala ya kifedha kupitia simu yaani M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money na Holapesa. Ninatamani niweke na huduma za bank lakini mtaji wangu ni mdogo kwahiyo nimefikiri nikope pesa kwaajili ya huduma ya kibenki na mahali nilipo wateja wapo.

Swali langu, je kamisheni zake zitaniwezesha kulipa mkopo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamisheni baba. Kamisheni manake unapata kulingana na kile unachoingiza kupitia products au services za taasisi husika.

Mfano unaweza ukauza product au service fulani, wao wakachukua asilimia 80 wewe ukabaki na 20. Hiyo ndo kamisheni. Na sijawahi sikia kamisheni ina matumaini kwa agents.

Ila ni namna unavyopiga kazi tu na kuingiza wateja wengi ikakulipa. Katika mkopo piga hesabu za kamisheni utakazopata uhusianishe na mkopo wako uone kama utakufaa au vipi.

All the best.
 
Noma kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…