Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau nimekuwa nikisikia kuwa kuna mkopo benk kwa vijana wasio na mali isiyo hamishika. Wanasema ukipeleka cheti cha chuo na ukawaachia benki wanakupa mkopo. Je ni kweli?, mwenye uzoefu au aliewahi kufanya hivyo afunguke hapa tafadhali
nimemkumbuka msomi magoroli. Tanzania bila wasomi inawezekana.Sisi wasomi wa Mzumbe University, wakati wa ziara ya Mhe. Rais tulimwomba mabenki yaweze kutukopesha kwa kutumia vyeti, tunatumaini ili atalifanyia Kazi. Pia tulimwambia Mhe. Rais tumeridhika na Mchakato unaofanywa na Bunge Mahalum la Katiba, wale waliosusa ni wahuni tu , ahachane nao. Matamko hayo yalitolewa na Rais wetu wa Wanafunzi.
nimemkumbuka msomi magoroli. Tanzania bila wasomi inawezekana.
Mahalum? ahachane? Duh kweli ninyi wasomi wa MzumbeSisi wasomi wa Mzumbe University, wakati wa ziara ya Mhe. Rais tulimwomba mabenki yaweze kutukopesha kwa kutumia vyeti, tunatumaini ili atalifanyia Kazi. Pia tulimwambia Mhe. Rais tumeridhika na Mchakato unaofanywa na Bunge Mahalum la Katiba, wale waliosusa ni wahuni tu , ahachane nao. Matamko hayo yalitolewa na Rais wetu wa Wanafunzi.