Mwenye ufahamu kuhusu mkopo benk kwa njia ya Cheti

Nkobe

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
2,204
Reaction score
3,277
Wadau nimekuwa nikisikia kuwa kuna mkopo benk kwa vijana wasio na mali isiyo hamishika. Wanasema ukipeleka cheti cha chuo na ukawaachia benki wanakupa mkopo. Je ni kweli?, mwenye uzoefu au aliewahi kufanya hivyo afunguke hapa tafadhali
 
umesikia wapi? Waulize vizuri waliokwambia hiyo habari!!
 
Sisi wasomi wa Mzumbe University, wakati wa ziara ya Mhe. Rais tulimwomba mabenki yaweze kutukopesha kwa kutumia vyeti, tunatumaini ili atalifanyia Kazi. Pia tulimwambia Mhe. Rais tumeridhika na Mchakato unaofanywa na Bunge Mahalum la Katiba, wale waliosusa ni wahuni tu , ahachane nao. Matamko hayo yalitolewa na Rais wetu wa Wanafunzi.
 
nimemkumbuka msomi magoroli. Tanzania bila wasomi inawezekana.
 
hapo hukopesheki labda ulete hati ya nyumba
 
Mahalum? ahachane? Duh kweli ninyi wasomi wa Mzumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…