Mwenye ufahamu Mwenge sekondari, Singida

Mrope Sir

Member
Joined
Oct 4, 2014
Posts
41
Reaction score
0
Kama unafahamu chochote kuhusu shule ya sekondari Mwenge Singida samahani tupia apa au unaweza nipm au 0683776379
 
ipo manispaa ya singda boda boda ni 1000/- Kutoka stand
 
Naipata vema Mwenge Sec. Ni verry open school.
 
naifahamu mwenge ile ya mchanganyiko pale pondini palihusika sana shule ilikuwa inakusanya wanafunzi nchi nzima,ni wakati ambapo serikali ilikuwa inathamini shule zake tulikuwa tunasoma na watoto wa wabunge,wakuu wa mikoa wilaya,mawaziri kiroho safi hiyo ilisaidia sana kujenga umoja wa kitaifa sio leo wakimbilia ikulu wanajisifia majengo ya shule za kata ngoja niishie hapa
 

Mkuu kwema? kimya sna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…