Mshahara wake atapokea atakaokuta baada ya re-categorization, kama ulikuwa juu zaidi ya kule alikotoka ni bahati yake na kama utakuwa wa chini ni hasara kwake. Halmashauri zinakataa kujiendeleza tofauti Kwa Sababu zina-uhitaji mkubwa wa fani Yako, Sasa ikitokea umesoma tofauti maana yake watakufanyia re-categorization halafu Ile nafasi uliyokuwepo awali itapotea na watalazimika kutafuta mtu mwingine ambapo kwao ni gharama. Kwa hiyo Kila mtu anaangalia upande wake, wewe unaangalia upande wako Kwa kubadilisha fani ambapo ni faida kwako na Halmashauri inaangalia lwa upande wake ambapo wewe ukibadilishwa itakuwa ni hasara kwao.