chr1xt0pher
Member
- Mar 12, 2022
- 8
- 10
PerfectLike seriously!??
Anyway, start with the bests.
UDOM
CoICT-UDSM
AAI
OUT
OUT hakuna computer science, kuna ICT tu.Like seriously!??
Anyway, start with the bests.
UDOM
CoICT-UDSM
DIT
AAI
OUT
Ipo na inatambulika kama Bachelor of Science (Bsc.).
We ndio zero brain kabisa,Ipo na inatambulika kama Bachelor of Science (Bsc.).
Nakuonea huruma na nakupa pole sana... Uwe unasona Thread headings then think before concluding and finally reply with confidence.
This is JF not Facebook or Instagram. Watu humu hawakurupuki kama kitu hukifahamu vizuri ni vizuri kunyamaza kuliko kubisha na kupotosha.
Enjoy!
- unawezaje kumzuia/kumpiga marufuku asichangie mada hapa jf Wakati mada iko wazi Kwa yeyote.We ndio zero brain kabisa,
We ka-comment mijadala ya ngwini hizi mada ya science temana nayo sio size yako.
Kwa hiyo kuitwa bsc tayari ni computer science, pole sana...nenda kasome maji maji war
Haya nionyeshe iko wapi hapa degree ya computer science.
Kwa taarifa yako we kihiyo, hiyo bsc ni bsc general ,katafute program structure yake ili uje ufute comment yako.View attachment 2223773
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimzue ku-comment kwani mi max mello?- unawezaje kumzuia/kumpiga marufuku asichangie mada hapa jf Wakati mada iko wazi Kwa yeyote.
-unamuita ngwini, akasome majimaji war, unadhani ukisoma science ndiyo utatoboa? Mnaweza kuishia wote tgs d halmashauri
Nimzue ku-comment kwani mi max mello?
Umeona alivyo comment huko juu?
Haya na wewe kamalizie mfekane war.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe kelele zote hizo wewe ni mpima.
- Dogo Mimi Sio level yako Mimi ni registered land surveyor
- hizo mfecane war wenzio wamezifanyia PhD na wanapiga Pesa nyingi.
- registered land surveyor wewe taaluma yako ni ipi?
Kwa hiyo wewe mpima ushaona hapa ni LinkedIn yaani kila mtu aanze kuweka professional profile?!!!- registered land surveyor wewe taaluma yako ni ipi?
- ww ndiyo zero brain hujioni hata namba unavyojenga hojaKwa hiyo wewe mpima ushaona hapa ni LinkedIn yaani kila mtu aanze kuweka professional profile?!!!
Once you are zero brain you will always be.
Sent using Jamii Forums mobile app
- ww ndiyo zero brain hujioni hata namba unavyojenga hoja
-gretthinker hawezi kudharau mfecane war, Kwa kipimo hicho umeonesha jinsi ulivyo kichwa kitupu,bongolala
-Hujazuiwa kutaja taaluma yako hapa jf Kama unaogopa kutaja taaluma yako hiyo nayo ni Sehemu ya Kuwa zero brain...
1- "namba unavyojenga hoja"
2-"gretthinker"
3-"Hujazuiwa"
Then,
"Kama unaogopa kutaja taaluma yako hiyo nayo ni Sehemu ya Kuwa zero brain"
So kama hujazuiwa kitu then usipofanya you are zero brain?!!
Hebu malizia hii equation then utajiona hata kuwa zero nimekupendelea sana, maana kuandika hajui ku-reason empty, unafikiri uta argue na mimi?!!
Sent using Jamii Forums mobile app
- ww ni zero brain Kwa kushindwa kujua umuhimu wa vitu vidogo vidogo mfano majimaji war, mfecane war Hilo pia linatosha kuthibitisha kuwa ni zero brain
- umenipendelea kuwa zero wakati ww mwenyewe vitu ulivyoanza kuviandika awali vinaonyesha huna uwezo wa akili na uchambuzi wa mambo wa kutosha, unadharau Waliosoma mfecane,majimaji hujui hao ndiyo kina kibatala ukipelekwa segerea
- akili kubwa huwa hatudharau dharau taaluma nyingine.