Mwenye ufahamu/ Uzoefu na gari ya Tribute Mazda

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Naomba mwenye uzoefu wa hii gari anisaidie kuhusu uzuri na mapungufu yake, kama vile matumizi ya mafuta n.k.

Ni gari ambayo nimetokea kuvutiwa nayo kwa muonekano wake wa nje japo ya ndani siyajui.

 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Engine size 3000
Staff gear

Utakuja kulia na vipuri pindi tu itakapo kuja zingua,utakosa hata used spare,hapa bongo umeziona ngapi hizo gari?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…