Kuna bond za muda mrefu na mfupi. Mfaano 5,10,15,20,25 yrs wewe unataka uiweke kwa muda gani bila ya kuigusa. Pia kuwa mjanja nunua bond baadaye ichukulie mkopo ambayo watakupa 3/4 ya iyo hela yako. Chukua mkopo ambao UNALIPWA kwa semi annually yaani Ile riba ndiyo inayolipa marejesho so labda hapa uchukue ya 20yrs.
Baada ya hapo Kama una hela nyingine unaongezea na hiyo unajenga hata kaloji ka vyumba 5-10.
Baadaye na loji unaichukulia Tena mkopo unafanya ishu zingine.
Inatakiwa pia uelewe namna ya kukwepa Kodi Kama ambavyo billionaire like bill gate wanakwepa.
Ama nunua hisa za twiga cement,crdb and nmb hata tbl Mana watu wataendelea kuwa watu na wataendelea kutafuta cheap dopamine kwa kunywa pombe so no guarantee. Na uwaambie gawio lako.wasikupe wawe wanakulipa kwa share so mti utazaa mtu na mtu uliozaliwa nao utazidi kuzaa ,Ila yatakiwa uelewe consequences za kumiliki hisa. Miliki kampuni ambayo management yake iko very strong na iyo kampuni iwe na value kwa jamii ama kwa watu.
Bora umiliki hisa za Bei kubwa zenye thamani kuliko cheap shares of low value.
Check or value the value/quality over the price