M Mikidadi Chisala Member Joined Nov 12, 2014 Posts 52 Reaction score 3 Dec 29, 2014 #1 Ni muda mrefu sasa nasumbuliwa na tatizo la kukojoa mkojo wa njano kupindukia, Mara nyingi nimejaribu kupata tiba katika hospitali tofauti tofauti bila mafanikio yoyote yale, tatizo bado lipo palepale,
Ni muda mrefu sasa nasumbuliwa na tatizo la kukojoa mkojo wa njano kupindukia, Mara nyingi nimejaribu kupata tiba katika hospitali tofauti tofauti bila mafanikio yoyote yale, tatizo bado lipo palepale,
D Dudutamu Member Joined Sep 11, 2013 Posts 33 Reaction score 5 Dec 29, 2014 #2 Kunywa maji mengi yaweza kukusaidia
M Mikidadi Chisala Member Joined Nov 12, 2014 Posts 52 Reaction score 3 Dec 29, 2014 Thread starter #3 Dudutamu said: Kunywa maji mengi yaweza kukusaidia Click to expand... Nakunywa sana maji mpk inakuwa kero....
Dudutamu said: Kunywa maji mengi yaweza kukusaidia Click to expand... Nakunywa sana maji mpk inakuwa kero....
ldd JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 790 Reaction score 128 Dec 29, 2014 #4 Muone Dr, otherwise kunywa maji mengi