Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Thanx mkuu, vipi kama CIF ya TRA ikitofautiana na CIF ya kampuni unayonunulia? Mfano utakuta gari linauzwa $800, CIF Dar ni $1900, Lakini ukija TRA watasema CIF $2400, je inaathiri vipi mchakato mzima? Any experience?Reference Number 1617129141
Make: MAZDA
Model: DEMIO
Body Type: HATCHBACK
Year of Manufacture: 2007
Fuel Type: PETROL
Engine Capacity: 1001 - 1500 CC
Customs Value CIF (USD): 2204.94
Ushuru wa Mazda Demio 2004Thanx mkuu, vipi kama CIF ya TRA ikitofautiana na CIF ya kampuni unayonunulia? Mfano utakuta gari linauzwa $800, CIF Dar ni $1900, Lakini ukija TRA watasema CIF $2400, je inaathiri vipi mchakato mzima? Any experience?
Mi pia ninakaelewa sana hako ka demio hasa ile model ya nyuma kabla ya hio mayai. Ina mkunjo mzuri sana wa body tofauti na vile vigari vyenye shepu ya viatu vya kitoto, ist na mwenzake vits!
Yeah, nambieMambo? Bado uko Moshi?