Mwenye uhakika wa kusupply kuku wa nyama (kisasa) 25-30 kila siku anitafute

Mwenye uhakika wa kusupply kuku wa nyama (kisasa) 25-30 kila siku anitafute

mjasilia

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2012
Posts
594
Reaction score
172
Habari zenu wajasiria mali naomba kwa mfugaji wa kuku mwenye uwezo wa kusupply kuku 25-30 kila siku tuwassiliane ata kama una uwezo wa kuwa nao angalau kwa wiki anagalau mara mbili au tatu uwe uko Dar es salaam kama wewe ni mfugaji usisite kunitafuta niwe na mawasiliano na wewe nitakuulizia mara kwa mara.
Simu yangu:
0784321716
 
ningekushauri utafute wafugaji watatu au wanne ile waweze kukupatia constant supply
 
Uwezo wa kukupatia idadi hiyo ya kuku ninao, tutawasiliana kwa simu.
 
Back
Top Bottom