Mwenye uhitaji wa mfanyakazi (manual work)

Mwenye uhitaji wa mfanyakazi (manual work)

Spiderman

Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
9
Reaction score
5
Kwa wakazi wa Mwanza natafta manual work yoyote halali salary kuanzia 200k per month. Karibu sana wana Mwanza 0625682899. Elimu yangu ni SHAHADA (ila chet nimeshaamua kukiweka pemben kwanza)
 
Kwa wakazi wa Mwanza natafta manual work yoyote halali salary kuanzia 200k per month. Karibu sana wana Mwanza 0625682899. Elimu yangu ni SHAHADA (ila chet nimeshaamua kukiweka pemben kwanza)
Mungu akuangazie njia yako na kukulinda
 
Weka na cheti ndo utapata hiyo manual work ya laki 2 bila cheti ni buku 4 per day.
 
Mwalimu tafuta shule hata za Serikali kajitolee utapata connection ukiwa huko
 
Naona unajipangia na kiwango cha mshahara kabisa
 
Back
Top Bottom