Mwamundela
Member
- Aug 28, 2013
- 49
- 71
Habari wanajamvi, poleni na majukumu ya kila siku.
Mimi ni mwalimu kwa taaluma ,nimesoma Bachelor of science with Education (Bsc EDUCATION) Na nimehitimu mwaka 2017.
Nina uzoefu wa kufundisha Chemistry na Biology Kwa miaka mitano(5) Kwa NGAZI zote yaan A-Level na O- Level. Napatikana kitunda Dar es Salaam.
Kama kuna shule inahitaji Mwalimu wa masomo haya nko tayari. Pia niko na tution nafundisha hapa kivule, pamoja na walimu wenzangu wa masomo mengine.
Na kwa wale wazazi ambao hawapendi watoto wao waende mbali tunafanya tutoring Kwa kuwafuata nyumbani Kwa Bei nafuu kabisa (hapa ni pamoja na wale wa primary school). Soon tutakuwa pia na huduma ya pre-form one. Kwa mwenye uhitaji naomba anitumie ujumbe, (ani PM) ili kuweza kuwasiliana.
Ahsanteni.