R Rafia Member Joined Nov 20, 2013 Posts 26 Reaction score 2 Sep 15, 2014 #1 Kwenu wanajamvi.naamini mu wazima.Ninatamani kujua jinsi ya kutengeneza mikunjo ya vikoi vya batiki kwa pembeni sbb huwa ninaona nyuzi nyuzi lkn sijajua jinsi zinavyotengenezwa. Naomba mwenye ujuzi ktk hili anisaidie tafadhali nina kiu.
Kwenu wanajamvi.naamini mu wazima.Ninatamani kujua jinsi ya kutengeneza mikunjo ya vikoi vya batiki kwa pembeni sbb huwa ninaona nyuzi nyuzi lkn sijajua jinsi zinavyotengenezwa. Naomba mwenye ujuzi ktk hili anisaidie tafadhali nina kiu.
K kajaga88 JF-Expert Member Joined Jul 7, 2013 Posts 228 Reaction score 31 Sep 16, 2014 #2 ngoja waje wajuvi