Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningekushauri uweke maelezo yaliyokamilika ili kupata msaada. Taarifa kama ni kazi gani inahitajika kufanyika, ni taasisi gani inahusika na vitu kama hivyo. Kuja PM kupata hizo taarifa ni kitu ambacho watu wazuri wengi wanaweza wasifanye.Kama kuna mtu mwenye ujuzi mzuri wa kutumia accounting package kama Zoho Books naomba aje PM tuongee.
a uzoefu waNingekushauri uweke maelezo yaliyokamilika ili kupata msaada. Taarifa kama ni kazi gani inahitajika kufanyika, ni taasisi gani inahusika na vitu kama hivyo. Kuja PM kupata hizo taarifa ni kitu ambacho watu wazuri wengi wanaweza wasifanye.
Mnatoa sh ngapi kuwapatia huo uzoefu?Tunahitaji kupata uzoefu wa kutumia Zoho Books na pia uwezekano wa ajira in the future.
a uzoefu wa